Matthew 22:37-40

37 aIsa akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ 38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39 bNayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40 cAmri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na Manabii.”

Swali Kuhusu Mwana Wa Daudi

(Marko 12:35-37; Luka 20:41-44)

Copyright information for SwhKC